NI NANI ALIYEKUTUMA KUOA MWANAMKE FLATSCREEN
Naongea na wanaume wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele. Utakuta mtu yupo na mkewe matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah. Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha kutamani vya wenzako. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako. Acheni ujinga waacheni waenjoy na wake zao maana hawakuwatuma kuoa flat screen.