HIZI NDIO TABIA ZA WANAWAKE WALIOOLEWA ZINAZOSABABISHA WAUME ZAO KUPIGA NJE

Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao
*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
*Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
*Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..
*Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna… anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie … kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati….. 

*Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka….na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba….. Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni

Comments

Popular posts from this blog

HIZI NDIZO TOP 4 ZA STAILI ZA KUFANYA MAPENZI ILI KUKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA

JINSI YA KUMRIDHISHA (KUMLA SAWA SAWA)MWANAMKE KITANDANI

ZIJUE SIKU ZA HATARI ZA MWANAMKE ZA KUSHIKA MIMBA