UKISIKIA MWANAMKE ANA KAULI HIZI STAY AWAY FROM HER









Katika kupiga story na mwanamke/ Msichana ambaye una interest nae na ungependa in some days awe somebody wako/ Mrs. Akiwa na kauli hizi achana nae
” Nataka kuwa na kazi yangu, Niwe na biashara yangu niwe na maisha yangu nifanye vitu vyangu ninunue na kiwanja changu nijenge nyumba yangu”
Kaa mbali na huyo mwanamke. Huwa ni wabinafsi sana. Hutakaa ufurahie maisha nae.
Wakati wewe unawaza uwe uwe na mke pia uwe na familia ufanye mambo kwa ajili ya familia, yeye anajiwazia yeye tuu.
“NEVER MARRY A SELFISH WOMAN”

Comments

Popular posts from this blog

HIZI NDIZO TOP 4 ZA STAILI ZA KUFANYA MAPENZI ILI KUKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA

JINSI YA KUMRIDHISHA (KUMLA SAWA SAWA)MWANAMKE KITANDANI

MASWALI UNAYOWEZA KUMUULIZA MPENZI WAKO KWA MARA YA KWANZA MNAPOKUTANA