HII NDIYO NGUVU ALIYOBEBA MWANAMKE

Tukumbuke kwamba kinyume cha beba ni shusha, na kinyume cha kusanya ni tapanya, basi ukishindwa kumuhendo mwanamke vizuri kwa upendo na uaminifu mkubwa basi wewe mwenye utakuwa umejitengenezea jehanamu. 
A – Pale mwanaume anapompa mwanamke mbegu, mwanamke humpa mwanaume mtoto. 
B – Pale mwanaume anapompa mwanake nyumba, mwanamke uifanya nyumbani. 
C – Ukimpa mwanamke bidhaa za shambani yeye anakutengenezea chakula
D – Ukimpa maneno machache yeye anakutengenezea sentensi nzima
E – Ukiamua kumchanganya akili yake kidogo tu yeye anaweza kukuvurugia maisha yako yote, ila ukimpa furaha kidogo yeye atayafanya maisha yako yawe paradiso.
Kwahiyo tusilaumiane

Comments

Popular posts from this blog

HIZI NDIZO TOP 4 ZA STAILI ZA KUFANYA MAPENZI ILI KUKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA

JINSI YA KUMRIDHISHA (KUMLA SAWA SAWA)MWANAMKE KITANDANI

MASWALI UNAYOWEZA KUMUULIZA MPENZI WAKO KWA MARA YA KWANZA MNAPOKUTANA