FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI



Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi ufahamu faida hizi za kushangaza za kufanya mapenzi asubuhi.  

FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI   

 Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri   
Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido   
huimarisha cha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.   
Hupunguza shinikizo la damu.   
Huhesabika kama moja ya Zoezi.   
hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.   
Hupunguza maumivu ya mwili   
Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer   
Inaboresha hali ya usingizi   
Hupunguza Msongo wa Mawazo   

hii ni kwa wanandoa  

Comments

Popular posts from this blog

HIZI NDIZO TOP 4 ZA STAILI ZA KUFANYA MAPENZI ILI KUKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA

JINSI YA KUMRIDHISHA (KUMLA SAWA SAWA)MWANAMKE KITANDANI

MASWALI UNAYOWEZA KUMUULIZA MPENZI WAKO KWA MARA YA KWANZA MNAPOKUTANA